
Aliyekuwa
Sheikh mkuu wa mkoa wa Tabora Sheikh Shaaban Salumu(aliyevaa shati
jeusi) wakati alipokuwa barabarani akisindikizwa na waumini wa dini ya
kiislamu baada ya kuachiwa kwa dhamana katika mahakama ya hakimu mkazi
Tabora akituhumiwa kwa kosa la kutaka kuleta fujo msikiti mkuu wa Ijumaa
Gongoni mjini Tabora akiwa na waumini wengine watano.

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro








Post a Comment
Post a Comment