Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

...kama vile kalala kumbe ndiyo kafa.Mmoja wa mashuhuda wa tukio.Mtendaji wa eneo hilo na baadhi ya Wasamaria wakiufunika mwili wa marehemu.Mtendaji wa kata ya Midizini-Manzese Bw. Penford Kizo akiwa mahali pa tukio.

KIJANA mmoja wa kiume aliyedaiwa kuwa ni mfanyabiashara ndogondogo amekutwa amefariki katika kituo cha mabasi yaendayo kasi Manzese, jijini Dar, leo asubuhi.  Inasemekana vijana wengi huwa wana tabia ya kulala ndani ya vituo hivyo kwa hiyo watu iliwachukua muda mrefu kubaini kama amefariki.
 
Kwa mujibu wa mtendaji wa serikali wa Kata ya Midizini-Manzese, Penford Kizo na mashuhuda wengine, kifo cha kijana huyo hakijafahamika kimesababishwa na nini.
>>>GPL 

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top