Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

VIDEO Queen matata Bongo, Agness Jelard ‘Masogange’ amehamia nchini Afrika Kusini ‘sauzi’
kwa ajili ya kutafuta maisha. Akipiga stori na paparazi wetu, Masogange alisema ameamua kuhamia nchini humo ambapo ndipo atakapokuwa akiishi maisha yake yote na Tanzania atakuwa anakuja kutembea tu.
Video Queen matata Bongo, Agness Jelard ‘Masogange’.
“Nimeamua hivyo kwani nahisi huku ndiy  o maisha yangu yalipo na mipango mingi ya kimaisha nafanikiwa ninapokuwa huku,” alisema Masogange.
BONYEZA HAPA

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top