Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Wananchi wakiwa eneo la ajali baada ya malori kugongana huko Simike, Mbeya.
 

AJALI hii imetokea maeneo ya Simike mkoani Mbeya ikiyahusisha malori mawili na kusababisha foleni kubwa katika barabara hiyo. Kutokana na foleni hiyo, wananchi wengi waliamua kutembea kwa miguu huku waendesha bodaboda wakipata abiria wa kumwaga kutokana na barabara hiyo kutopitika kwa muda.




Chanzo GPL

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top