Wema
Sepetu ambaye anadaiwa ana kitumbo, ameamua kufungukia madai hayo
kwamba ni kweli anahitaji mtoto lakini kwa sasa bado mimba haijaingia.
Diva katika tasnia ya filamu Bongo Wema Sepetu.
Wema
alifungukia hilo kwenye ukurasa wake wa nstagram ambapo alisema,
anatamani siku moja aitwe mama lakini taarifa zilizoenea kuwa amenasa
si za kweli.
Akizungumzia hilo mpenzi wake Nasibu Abdul ‘Diamond’ alisema: “Unajua sisi tunaishi kama mke na mume kwa hiyo ishu ya mimba inawezekana lakini muongeaji ni Wema, mimi nataka iwe sapraizi.”
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment