Shindano la Big Brother Africa 2014 limetangaza tarehe za usaili katika
nchi mbalimbali za Afrika zitakazoshiriki huku kwa Tanzania tarehe ya
usaili ikipangwa kuwa 11-12 July katika hoteli ya New Africa Hotel, Dar
es salaam. Mshindi wa mwaka huu atajinyakulia kitita cha $300,000.
Post a Comment
Post a Comment