Fungua sana domo kaka: David Luiz akipimwa afya katika uwanja wa mazoezi wa Granja Comary..
WAKATI
homa ya fainali za kombe la dunia ikizidi kupanda kwa mataifa shiriki,
timu mwenyeji, Brazil, inaendelea kujiwinda vikali mno ili kubeba ndoo
ndani ya ardhi yake ya nyumbani.
Wachezaji wa Brazil wanaonekana
kuimarika sana na kuonesha furaha ya kuanza shughuli hiyo juni 12 mwaka
huu.Kocha mkuu Luiz Felipe Scolari anaendelea na programu yake ya
mazoezi na wachezaji wake wamepimwa afya katika uwanja wa mazoezi wa
Granja Comary mjini Teresopolis, kilometa 90 kutoka Rio Janeiro.
Post a Comment
Post a Comment