Baadhi ya
washiriki wa Shindano la Tanzania Movie Talents Kanda ya Kaskazini
Wakiwa kwenye mstari tayari kwa kuchukua fomu za ushiriki wa shindano
hilo linaloendelea Mkoani Arusha.
Wafanyakazi
wa Proin Promotions wakitoa maelekezo ya kujaza fomu za ushiriki wa
shindano la Tanzania Movie Talents kwa washiriki waliojitokeza katika
Kanda ya Kaskazini Mkoani Arusha
Washiriki wa Tanzania Movie Talents wakijaza fomu
Washiriki wakiwa katika sehemu ya kusubiria kwajili ya kwenda kwa majaji kuonyesha vipaji vyao vya kuigza
Wakitafakari juu ya Kushiriki na kufanya vizuri katika Mashindano hayo
Wakipeana Moyo..
Msanii
wa Vichekesho Tanzania Lucas Muhavule aka Joti (Kulia) akibadilishana
mawazo na Afisa Utamaduni Mkoa wa Arusha Bi Amina Hassan wakati
alipotembelea kutaza mashindano ya Tanzania Movie Talents
yanavyoendeshwa.
Baadhi ya Kameramani wa Tanzania Movie Talents wakiwa tayari kwa kazi
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment