
Staa katika tasnia ya filamu Alice Bagenzi “Rayuu” amefunguka na kusema amechoka maisha ya
kuishi kiupweke hivyo anatafuta mwanaume wa
kumuoa ili naye awe katika ndoa na aachane na
maisha ya ukapera maana kwa sasa
yanamuelemea na kila aonapo watu walio olewa
jinsi wanavyoishi na wanaume zao basi na yeye
anatamani sana maisha hayo. "Natafuta
mwanaume wa kuniweka ndani ambaye atakuwa
mkweli na atanipenda kwani nimechoka maisha
ya kisela, nataka niwe mke halali wa mtu tena
mwanaume atakayekuja kwangu nitampenda sana”
Alifunguka mbele ya Mpekuzi wetu na kuongeza:
"Mimi ni binti mzuri tena bado mdogo hivyo
maisha ya kurukaruka nimechoka"
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment