Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Baada ya Madame Wame Sepetu kupigulua urafiki na Kajala miezi kadhaa iliyopita, siku za hivi karibuni amekuwa akiweka picha kwenye ukurasa wake wa INSTAGRAM akiwa pamoja na Aunty Ezekiel  na mdada anaetumia jina la Nice Chande..picha hizo zinawaonyesha watatu hao wakiwa wanakula bata na wamekunja sura na kua kama wanazomea hivi...

Madame siku za nyuma alikuwa anapenda kula bata na Kajala...Sasa swali ni je nini hasa Wema anamaanisha kwa kuweka picha hizi na kuandika  ujumbe kama  "Scary faces.....hihihi"...au ni nini kimejificha nyuma ya hizi PICS?.. au ni SWAGA tu...haya ni maswali yakujiuliza...

 

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top