Padri Octaviani Msimbe akiongoza ibada ya kumbukumbi ya kifo cha Albart Mangweha nyumbani kwao Kihonda 'Mazimbu Road' Morogoro
Mama Mangweha akipokea sakrameti takatifu
Mchumba wa Mangweha Michelle Louise raia ya Uingereza akihojiwa
Msanii
wa bongofleva Mgaza Pembe' M-2 THE- P ambaye alikuwa na m,arehemu
Mangweha Afrika Kusini akipiga picha matukio ya lbada hiyo,
Mama Mangweha akitoa shukrani kwa watu walioshiriki lbada hiyo.
Picha na Dastan Shekidele.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment