Marais
na viongozi toka nchi mbalimbali wakiondoka Union Buildings baada ya
kushuhudia Rais Jacob Zuma akiapa kuwa Rais wa Afrika Kusini kwenye
ukumbi wa wazi wa Mandela katika jingo la Union Buildings mjini
Pretoria, Afrika Kusini, leo Mei 24, 2014

Ndege
za kijeshi zikiunda umbo la "20" kuashiria miaka ishirini ya uhuru
kamili wa Afrika Kusini katika sherehe za kuapa Rais Jacob Zuma wa
Afrika Kusini kwenye ukumbi wa wazi wa Mandela katika jingo la Union
Buildings mjini Pretoria, Afrika Kusini, leo Mei 24, 2014

Rais
Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiondoka Union Buildings baada ya
kushuhudia Rais Jacob Zuma akiapa kuwa Rais wa Afrika Kusini kwenye
ukumbi wa wazi wa Mandela katika jingo la Union Buildings mjini
Pretoria, Afrika Kusini, leo Mei 24, 2014.Picha Na Ikulu
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro

Post a Comment
Post a Comment