Kwa kutumia hashtag #FreeTheNipple, alitumia mtandao wa twitter kumaliza hasira zake juu ya mtandao wa Instagram huku pia akitumia picha za Rihhana alizopiga akiwa mtupu kwa ajili ya jarida la LUI kama profilee picha yake.
Kama umegundua pia account ya Rihhana ilifutwa muda mfupi baada ya kutupia picha zake akiwa mtu. Instagram hawakuwa nyuma,walijibu mashambulizi.
Shuka nayo kucheki alichofanya na walichomjibu Instagram.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment