Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

May 28 Siku chache baada ya kufunga ndoa na baba wa mtoto wake rapa Kanye West, Kim Kardashian amebadili jina katika mitandao ya kijamii ya twitter na Instagram na kuanza kujiita rasmi Kim Kardashian West.




Inawezekana penzi na rapa huyu limekolea haswa maana imegundulika hakufanya hivyo kwenye ndoa yake na mcheza kikapu Humphries mwaka 2011,kwa madai kuwa jina la Kardashian tayari ni 'Brand' kwa hiyo hawezi kuongeza au kupunguza kitu! Huenda alijua kuwa ndoa haitadumu kama ilivyotokea.. 
BOFYA HAPA LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top