Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Bw.Abrahaman Kinana akivishwa Skafu ikiwa ni sehemu ya Mapokezi yake wilayani Igunga wakati akianza ziara ya kikazi mkoani Tabora. 
Katibu Mkuu Kinana akisalimiana na baadhi ya viongozi akiwemo Katibu wa siasa na uenezi wilaya ya Tabora mjini Bw.Rashid Ramadhan  na Mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM wilaya ya Tabora mjini Bw.Emmanuel Mwakasaka.
Mbunge wa Jimbo la Nzega Dr.Hamisi Kigwangallah na mbunge wa vitimaalum mkoa wa Tabora Bi.Munde Tambwe walipata fursa ya kusalimiana na Katibu mkuu Bw.Abrahamani Kinana wakati wa mapokezi hayo wilayani Igunga.

Bw.Kinana akizungumza na baadhi ya wananchi wa Makomero waliojitokeza kumlaki wakati alipowasili wilayani Igunga tayari kwa kuanza ziara ya siku kumi na moja mkoani Tabora. <<<<<<BOFYA HAPA ULIKE PAGE YETU PLEASE>>>> 

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top