Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Zikiwa zimesalia siku kumi na mbili Zena NA Betina kulitikisa soko la filamu Bongo MWANADADA Salma Jabu Nisha akizungumza na Website  ya masainyotambofu.com asubuhi ya leo alizungumzia suala la kuchimbwa mkwara mzito na Gazeti La Sani kwa kuambiwa alipe fedha taslimu za kitanzania Shilingi milioni 100 iwapo anataka kuendelea kuyatumia majina hayo ya Zena NA Betina au laa sivyo atashtakiwa na Gazeti hilo.   
Salma Jabu Nisha

Nisha alisema: Jamani navyoelewa katika sheria ya jamhuri ya muungano watanzania ya mwaka 1971ibara ya pili kifungu 'A' kuhusu matumizi ya majina ina sema kila mtu anahaki ya kutumia jina lolote alipendalo mradi awe amepewa na wazazi au kurithi, 
Majina hayo ni ,A' MAJINA YA ASILI, mfano Mwajuma, Amina,Zena, Hamis, Kabuti n.k, Kupitia sheria hii ndio maana unakuta majina hufanana..
 
Swali je wenye majina yao kweli hao wa kina zena wakiamua washtaki gazeti la sani kwa kuwafananisha na katuni wanaweza kuwalipa zena wote Tanzania?....Hakuwa na mengi ya kusema Nisha bebe bali alimalizia kwa kusema kuwa mashabiki wake wakae mkao wakula ZENA na BETINA zimesalia siku kumi na mbili iwasili madukani kote.
>>>>credit  masainyotambofu.com

<<<<<BOFYA HAPA ULIKE PAGE YETU>>>>>

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top