MAJANGA! Mshiriki wa Miss
Kiswahili 2009, Rehema Fabian ameonekana hamnazo baada ya kutupia picha
ya nusu utupu katika mtandao wa kijamii wa Instagram kisha kuambulia
mvua ya matusi.
Picha ya nusu uchi aliyotupia miss Kiswahili 2009, Rehema Fabian katiaka mtandao wa Instagram.
Picha ya nusu uchi aliyotupia miss Kiswahili 2009, Rehema Fabian katiaka mtandao wa Instagram.
Picha hiyo ilimuonesha akiwa amejiziba usoni
na kuacha wazi sehemu kubwa ya mwili wake ambapo baadhi ya wafuasi wa
mtandao huo walimkalisha kwa kumpa za chembe..
“Huwezi kuwa mtu unayejiheshimu katika jamii
halafu ukatupia picha ya namna hii katika mtandao wa kijamii,”
alichangia mmoja wa wafuasi wa Instagram.
Source: Umbea Mtupu<<<<<BOFYA HAPA ULIKE PAGE YETU>>>>>
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro








Post a Comment
Post a Comment