Msanii wa filamu nchini, Dr Cheni amelezwa toka
jana katika hospitali ya Buruhani jijini Dar es
Salaam kutokana na ugonjwa wa Dengue.
Dr Cheni akiwa hospital
Akizungumza na Bongo5 leo Dr Cheni amesema
kuwa bado hali yake sio nzuri kutokana na
kuishiwa damu na mwili kupoteza nguvu.
“Bado ni nipo hospitali ya Buruhani naumwa hili
gonjwa jipya,sijui unaitwa Dengue,” amesema.
“Bado hali yangu sio nzuri kabisa,yaani
naumwa,napungukiwa damu,mwili unauma,kwahiyo
yanai bado ninaumwa,hii homa ilinianzia wiki
iliyopita sema nilikuwa bado hawajaigundua ila
jana ndio wameingundua,” ameongeza.
Dr Cheni amesema kuwa anawaomba Watanzania
wamuombee kwani bado hali yake sio mzuri.
Dr Cheni akipewa huduma na msanii mwenzake wa
filamu
>>>>bongo5
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro









Post a Comment
Post a Comment