Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Kwenye mtandao wa twitter, mtangazaji wa
Clouds FM Hamisi Mandi au wengi
tukimfahamu kama B12 "B-Dozen"
amemuuliza swali la kizushi Ommy dimpoz
kuhusu viatu vyake alivyo vaa..
nahiki ndicho alichoandika... B12 nakuweka
picha ya viatu hivyo..
"Hivi ndo Viatu Vya dimpoz, si kwa ubaya
tunaomba ufafanuzi ni Vya kike au kiume?"

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top