High jump: Atletico Madrids's Diego Godin scores equaliser against Barcelona
Katika mechi hiyo ya Barcelona dhidi Atletico Madrid ambayo ilikuwa ni ya kuamua ni timu ipi itanyakua ubigwa wa La Liga msimu huu, Barcelona ndio waliokuwa wa kwanza kuutikisa wavu wa Atletico Madrid kwa goli lililofungwa na Alexis Sanchez katika ya 34 kipindi cha kwanza.
High jump: Atletico Madrids's Diego Godin scores equaliser against Barcelona
Baadae Atletico Madrid walikuja juu na kuanza kulishambulia goli la
Barcelona ambapo Diego Godin katika dakika ya 49 kipindi cha pili
aliIsawazishia timu yake kwa goli safi alilolipachikwa wavuni kwa njia
ya kichwa na hivyo kufanya mechi hiyo imalizike kwa jumla ya goli 1 - 1 .Atletico Madrid inakuwa mabingwa wa La Liga tangu baada ya kulikosa kombe hilo tangu mwaka 1996.
Rocket: Barcelona forward Alexis Sanchez breaks the deadlock against Atletico Madrid
Jumping for joy: Barcelona's Alexis Sanchez celebrates scoring at Nou Camp
Barcelona striker Alexis Sanchez celebrates after scoring a goal
Fever pitch: Atletico celebrate winning the Spanish league title at the Nou Camp
High jinks: Atletico's coach Diego Simeone is thrown in the air by his players
Emotional: Striker Diego Costa hugs goal scorer Diego Godin after winning the league title.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro






Atletico Madrid imenyakua kombe la ligi kuu ya Hispania La liga baada ya
kutoka sare ya 1 – 1 dhidi ya Barcelona na hivyo kumaliza ligi ikiwa na
pointi 89 huku Real Madrid iliyoshinda mechi yake dhidi ya Espanyol kwa
3 - 1 ikishika nafasi ya pili kwa kumaliza ligi ikiwa na pointi 87.
Post a Comment
Post a Comment