Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

2014 FA CHAMPIONS..... ARSENAL

nakumbuka 17th may 2000 tulikosa UEFA CUP...... 17th may 2006 tulikosa uefa..... but 17th may 2014 we made it!!!

 mara ya mwisho nilipost kwenye mtandao wa tagged in 2005.... one among best final in history.....  A R S E N A L
 
Like · ·

Timu ya Arsenal ya England imetwaa kombe la FA baada ya kubamiza Hull City kwa jumla ya magoli 3 – 2 kwenye fainali iliyofanyika katika uwanja wa Wembley siku ya jumamosi.

Katika mechi hiyo ya fainali Hull City ndio waliokuwa wa kwanza kuutikisa wavu wa Arsenal kwa magoli mawili ya haraka haraka yaliyofungwa ndani ya dakika 10 kipindi kwanza.

Goli la kwanza lilifungwa na James Chester dakika ya 3 huku goli la pili la Hull likifungwa katika dakika ya 7 na Curtis
 
Hata hivyo magoli hayo hayakuweza kudumu kwani katika dakika ya 16 Santiago Cazorla aliifungia Arsenal goli na hivyo hadi mapunziko matokeo yakawa 1 – 2.
Katika kipindi cha pili Arsenal walikuja juu na kusawazisha goli hilo katika dakika ya 80 lililofungwa na Laurent Koscielny na 2 – 2 na hivyo kufanya mechi hiyo kutopata mshindi katika dakika 90 za kawaida.
Baadae mwamuzi wa mpambano huo Lee Probert aliongeza dakika nyingine 30 ambazo zilifanya Arsenal wajiongezee goli la tatu goli la ushindi katika dakika ya 108 lililofungwa na Aaron Ramsey.
They've done it! Aaron Ramsey's extra time winner saw Arsenal end their nine-year trophy drought at Wembley
wachezaji wa Arsenal wakishangilia goli la ramsey. Piling on: Arsenal's players jumped straight on the Welshman after he clinched the win late on
Hadi mpira unamalizika Arsenal wakawa wameifunga Hull City kwa jumla ya magoli 3 -2
Gunners ilishinda taji lake la mwisho mwaka 2005 katika Embedded image permalinkfainali za kombe la F.A ambapo iliwacharaza wapinzani wao wa jadi Manchester United katika mechi iliochezewa katika uwanja wa Cardiff,huku timu ya Hull City ikishiriki kwa mara ya kwanza katika fainali ya kombe hilo.Scenes! That end of Wembley descended into bedlam the moment Ramsey's strike hit the back of the net
Meneja Arsene Wenger ameshinda mataji saba muhimu katika miaka yake 18 kama mkufunzi wa timu ya Arsenal, ikiwemo mataji matatu ya ligi kuu ya uingereza pamoja na manne ya kombe la F.A.Embedded image permalink
Mashabiki wa timu zote mbili walikabidhiwa tiketi 25,000 kila mmoja huku tiketi nyengine 20,000 zikipewa watu waliojitolea katika mashirika ya hisani,vilabu na ligi za kaunti.
 <<<<<BOFYA HAPA ULIKE PAGE YETU>>>>>

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top