WANANCHI
wenye hasira kali wakazi wa mtaa wa Mtwivila D katika Manispaa ya
Iringa wamemuua mtuhumiwa mwingine wa ujambazi aliyetambulika kwa jina
la Ayubu Mhema (31) msukuma mkokoteni mkazi wa Wangama mkoani Njombe
kwa tuhuma za wizi wa mali za wananchi wa eneo hiloTukio
hilo lilitokea leo majira ya saa 3 asubuhi baada ya mtuhumiwa
huyo kukamatwa akiwa na nguo zilizojaa ngunia moja ambazo aliziiba
katika nyumba ya mkazi mmoja wa eneo hilo baada ya kuvunja mlang
| Hapa mwili wa mtuhumiwa huyo ukishushwa kwa ajili ya kuhifadhiwa chumba cha maiti Hospitali ya rufaa ya mkoa wa Iringa |
| Mtuhumiwa wa wizi Ayubu Mhema akiwa amelala hoi |
Wakizungumza
na mwandishi wa habari hizi pasipo kutaja majina yao wananchi
hao walisema kuwa kumekuwepo na matukio endelevu ya wizi katika
eneo hilo na mbali ya wezi hao kukamatwa na kufikishwa polisi ila
bado wamekuwa wakiachiwa huru jambo ambalo limeongeza wimbi la wizi
katika eneo hilo.
Hata
hivyo walisema mtuhumiwa huyo Mhema amepatwa kukamatwa eneo hilo
zaidi ya mara nne akiwa na wenzake ila mbali ya kupewa kichapo
bado amekuwa akirudia kuiba . Bofya hapa kuendelea kusoma zaidi
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment