 |
Shughuli ya uokoaji ikiendelea.
Watu
Watatu wamekutwa na tukio la kufukiwa na kifusi maeneo ya machimbo ya
kifusi huko Bunju , watu hao walikuwa wakichimba kwa bahati mabaya
udongo ukamong'onyoka na kuwafukia, wananchi mbali mbali walijitokeza na
kusaidia zoezi la uokoaji kwa bahati mbaya wote walipatwa wakiwa
wameshafariki
|
Watu
watatu waliofahamika kwa majina ya Msagala, Jacob na Mhando wakazi wa
Bunju jijini Dar es Salaam mchana huu wamefariki dunia..
 |
| Waokoaji baada ya kugundua mwili ulipo. |
Wasamaria wema wakienda kuuhifadhi mwili.
....Walio fariki imefahamika ni bwana Msagala, Jacob na Mwando wote ni wakazi wa Bunju....RIP
Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi
Post a Comment
Post a Comment