Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Watu wameshaacha mafundisho ya dini zao wamekuwa kama wanyama bint huyu amesababishiwa matatizo haya na mama yake wa kambo baada ya kumsukuma kwenye sufuria la mafuta ya moto yalokuwa jikoni na kuweza kumuunguza vibaya usoni.

kupitia kipindi cha ushauri wako radio free bint huyu amesema kuwa mama yake huyo alimskuma na kuangukia kwenye mafuta  ,kitu cha kusikitisha mama yake huyo alohusika kwenye tukio hilo alipelekwa polisi na baada ya muda mchache akawa kaachiwa,kwasasa hana mahusiano mazuri na baba yake baada ya kufungua kesi mahakamani akimshitaki baba yake. amekuwa akitolewa nyama kwenye tumbo na kuziweka kwenye uso wake.
kwasasa bint huyu anasaidiwa na majirani kwa chakula akipata anakula akikosa analala na kushinda na njaa. habari kwa hisani ya kipindi cha ushauri wako cha RFA picha na sauti ya samaki blog.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top