Mamba aliekua akiishi katika ziwa Victoria mwenye
umri wa miaka 80, mwenye uzito unaokadiriwa
kukaribia tani moja amekamatwa katika ziwa
Victoria upande wa Uganda ni baada ya wananchi
kulalamika kuhusu mamba huyo anaekula watu,
huku akikadiriwa kuwa ameshakula watu
wasiopungua sita mpaka kukamatwa kwake
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment