Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Bky67_lCAAAH5k7
Kiungo wa zamani wa Arsenal na Real Madrid anayekipiga katika klabu ya Lokomotiv Moscow Lassana Diarra amekanusha madai kwamba ni mfuasi wa vita ya kidini nchini Syria.Wiki iliyopita iliripotiwa kwamba Diarra (29) alijiunga na vita inayoendelea Syria baada ya kutolewa kwa video 
 
 inayomuonyesha mtu akiwa kajifunika uso huku akijitambulisha kwamba ni Lassana Diarra.Hata hivyo kiungo huyu wa timu ya taifa ya Ufaransa ambae aliwahi pia kuitumikia Portsmouth na Chelsea, ametoa taarifa rasmi kupitia wakili wake na kusema hahusiki kabisa na hiyo video.“Hajawahi kukanyaga nchini Syria, ni ujinga na yeye sio mfuasi wa jihad, ni mwanasoka anayeichezea Lokomotiv Moscow,” amesema Mwanasheria wake.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
10 Apr 2014

Post a Comment

 
Top