Watoto wa
marehemu wakiwa katika majonzi na huzuni baada ya kumpoteza baba yao
ambaye amafariki dunia tarehe 13 april katika Hospitali ya Taifa
Muhimbili baada ya kusumbuliwa na matatizo ya moyo kwa kipindi kirefu.
Pia mdogo wa marehemu Ramadhani Mwishehe na Mtoto Mwalim Muhidin Gurumo walizungumza na sammisago,com wakielezea juu ya kifo cha
“Baba
yetu aliugua kwa muda mrefu sana anaugua anapata nafuu anaugua anapata
nafuu siku ya mwisho jana saa kumi na moja alfajiri alizidiwa pumzi
ilikuwa zimembana tukampeleka Hospitali Muhimbili pale, leo hii saa nane
mchana ndiyo anaaga dunia na prosesi za mazishi zitakuwa kesho saa tano
asubuhi na atazikwa Masaki uzaramuni” Mtoto wa Marehemu Mwalim Mwidin
Ngurumo.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment