Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Duka la Magari (showroom) iliyokuwa
karibu na eneo la Mlimani City barabara ya
Samnujoma jijini Dar es Salaam imeteketea
kwa moto na kusababisha hasara ambayo
bado haijafahamika, ambapo mpaka sasa
chanzo cha moto huo hakijafahamika.
Hapa moto ulikuwa ndiyo umeanza
kuwaka kabla ya kuanza kuunguza magari

>>>>>>>>Tazama picha chini.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top