Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Screen Shot 2014-04-13 at 5.10.14 PMNi mzee wa siku nyingi sana kwenye muziki Tanzania ambae aliwahi kuingia kwenye vichwa vya habari mara nyingi hasa kutokana na kuugua kwake kuliko mfanya aache hata muziki aliokua anaufanya.

Taarifa zilizothibitishwa na hospitali ya Taifa Muhimbili kwa millardayo.com zimesema Mzee huyu amefariki dunia akiwa hospitalini hapo leo April 13 2014 saa nane mchana baada ya kuletwa jana asubuhi na kulazwa kwenye wodi namba 6 ya Mwaisela kutokana na kuzidiwa.

Tayari mwili wake umepelekwa kwenye chumba cha kuhifadhia maiti ambapo taarifa zaidi kuhusu chanzo cha kifo na taratibu za mazishi.
>>>>Millardayo.com

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top