Producer anayewania tuzo ya
mtayarishaji bora wa muziki wa bendi
kwenye KTMA 2014 amepata ajali
mbaya na kuumia kichwani huku
bajaj aliyokuwa amepanda kuharibika
sana.
C9 amewahi kutengeneza ngoma
nyingi kama Mama Ntilie, nyimbo
nyingi za marehemu Sharo millionea
na nyingine.
Hivi sasa anaendelea vizuri hadi
anajibu pole anazopewa na mashabiki
zake kwenye mtandao wa instagram.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment