NI gumzo la aina yake ndani ya mji wa Kibaha mkoani Pwani ambapo mume
wa mtu aliyejulikana kwa jina la Vedasto Ager (43) amefariki dunia
baada ya kupata ajali ya kugongwa na gari aina ya Fuso akiwa amempakiza
mke wa mtu kwenye pikipiki.
Kifo cha Vedasto kilichotokea Aprili 6, mwaka huu kimeacha maswali kibao kutokana na muda
wa tukio hilo kuwa usiku wa saa saba.
Mwanamke huyo alijeruhiwa na kukimbizwa Hospitali ya Taifa Muhimbili. Kwa mujibu wa chanzo kimoja, marehemu Vedasto alikuwa akifanya kazi ya kuuza tiketi kwenye mabasi yaendayo mikoani huku mwanamke huyo akifanya kazi ya kuuza chakula ambayo ni maarifu kwa jina la Mama Lishe.
Uwazi lilifika eneo la tukio na kuzungumza na baadhi ya wakazi wa eneo hilo ambao walisema
hakuna anayejua kuwa wawili hao walikuwa wakitokea wapi kwani wote walikuwa mbali na maeneo wanayoishi! “Hata sisi tunashangaamarehemu alikuwa amembeba mke wa mtu saa saba usiku
wakitokea wapi kwenda wapi?” alihoji mkazi mmoja.
Uwazi lilipata bahati ya kuzungumza na mume wa majeruhi huyo, Fautunatus Simon ambapo alisema: “Mimi nilikuwa napita, ghafla niliona ajali.
Nilipokwenda
pale nilikuta kila mtu ameanguka kivyake. Nilipowaangalia vizuri
nikagundua mmoja ni mke wangu akiwa na Vedasto. “Vedasto alifariki dunia
palepale lakini mke wangu alikuwa ana majeraha, hatua ya kwanza
niliwakimbiza Hospitali ya Tumbi nikishirikiana na wananchiwengine.

Kamanda wa Polisi tukio hilo. “Gari lililosababisha ajali hiyo halijapatikana lakini polisi wanaendelea na upelelezi,” alisema.
>>>>>GPL
Kifo cha Vedasto kilichotokea Aprili 6, mwaka huu kimeacha maswali kibao kutokana na muda
wa tukio hilo kuwa usiku wa saa saba.
Mwanamke huyo alijeruhiwa na kukimbizwa Hospitali ya Taifa Muhimbili. Kwa mujibu wa chanzo kimoja, marehemu Vedasto alikuwa akifanya kazi ya kuuza tiketi kwenye mabasi yaendayo mikoani huku mwanamke huyo akifanya kazi ya kuuza chakula ambayo ni maarifu kwa jina la Mama Lishe.
Uwazi lilifika eneo la tukio na kuzungumza na baadhi ya wakazi wa eneo hilo ambao walisema
hakuna anayejua kuwa wawili hao walikuwa wakitokea wapi kwani wote walikuwa mbali na maeneo wanayoishi! “Hata sisi tunashangaamarehemu alikuwa amembeba mke wa mtu saa saba usiku
wakitokea wapi kwenda wapi?” alihoji mkazi mmoja.
Uwazi lilipata bahati ya kuzungumza na mume wa majeruhi huyo, Fautunatus Simon ambapo alisema: “Mimi nilikuwa napita, ghafla niliona ajali.
Waombolezaji.
Vedasto aliingizwa mochwari lakini mke wangu alipelekwa Muhimbili.”
Akizungumzia tuhuma za marehemu kuwa na uhusiano na mke wake, mume huyo
alisema hata yeye amezisikia na akasema atamuuliza mkewe akipata nafuu.
“Binafsi marehemu nilikuwa namfahamu sana lakini sijapata ukweli kuwa
usiku ule walikuwa wanatokea wapi?” alisema.Kamanda wa Polisi tukio hilo. “Gari lililosababisha ajali hiyo halijapatikana lakini polisi wanaendelea na upelelezi,” alisema.
>>>>>GPL
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro

Post a Comment
Post a Comment