Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
1Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi  (CCM) akizungumza na waadishi wa habari kwenye hoteli ya Bonelle mjini Chalinze wakati akizungumzia maendeleo ya kampeni za chama hicho katika jimbo la Chalinze, ambapo amesema kampeni zinaenda vizuri lakini wamekumbana na Changamoto za miundombinu ya barabara kutokana na mvua ambazo zinaendelea kunyesha nchini kote, jambo ambalo linaweza kuchangia wagombea  kushindwa kuwafikia baadhi ya wananchi katika baadhi ya maeneo ya jimbo hilo, Nape ameongeza kwamba hata hivyo chama hicho kitashinda kwa asilimia 94 katika uchaguzi huo unaotarajiwa kufanyika Aprili 6 jumapili ijayo.
IMG_6292Waandishi wa habari wakifuatilia mambo mbalimbali yaliyotolewa ufafanuzi katika mkutano na waandishi wa habari leo mjini Chalinze.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top