Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Kampuni ya whatsapp ni moja kati ya makampuni makubwa sana duniani hivi sasa,inadhaniwa kuwa na watumiaji wengi sana duniani hivi sasa kuizidi hata facebook,jambo lililofanya mmiliki wa facebook kuona umuhimu wa kuinunua kwa dola za kimarekani milioni 19,na inasemekana kuwa na uwezekano wa kuwa hacked kirahisi tu.


Kwa hivi sasa inasemekana ni rahisi sana kwa mtu kuweza kusoma message za mtu mwingine za whatsapp kupitia baadhi ya application mbali mbali za kudownload za android.

Whatsapp hivi sasa imekuja na mechanism ya kuweza kufanya backup ya message zako zote na kuzihifadhi online wakati unapotaka ku-uninstall au ku-install,kwa kukupa code ambayo inampa kila mtu duniani kwa wakati tofauti,badala ya kumpa kila mtumiaji code ya siri tofauti nay a mtu yeyote duniani.

Kutokana na research iliyofanywa na mashable.com,hii inamaanisha kuwa hiyo backup yako inaenda kuhifadhiwa kwenye database ambayo haina security yakutosha,risk inayofanya backup yako iweze kusomwa na mtu yeyote mwingine mwenye app nyingine mbali na whatsapp,sababu hii inakuja kwa kile kinachosemekana kuwa kuna watengenezaji wa apps wameweza kupata access ya backup hizo kupitia application zao.

Na kwa wale wanao-penda kuhifadhi backup ya whatsap kwenye memory card zao za simu,hii ndio njia rahisi kuliko yote kwa mtu yeyote atakaye pata memorycard yako,kwa kutumia application nyingine ya android, anaweza kusoma message zako za whatsapp vizuri tu bila shida yeyote ile

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top