Baada ya rapper wa Necessary Noize, Nazizi kuthibitisha kuwa ameachana
na mume wake, Bongo5 inathibitisha kuwa rapper huyo kwa sasa ni mpenzi
wa Mtanzania mwingine, Herry Sappy, mtayarishaji wa muziki kwenye studio
ya Home Boyz Productions ya Kenya.
Penzi Motomoto: Sappy na Nazizi
Mume wa zamani wa rapper huyo ni Mtanzania pia.
Familia: Sappy na Nazizi wakimbusu mtoto wa rapper huyo
Sappy ameiambia Bongo5 kuwa uhusiano wake na Nazizi ulianza siku ya
Valentine’s (Feb 14, 2014) na kwamba wapo serious na wanapenda kwa
dhati.
“Mpango ni kuvishana pete,”Sappy afunguka,Nazizi ana mtoto mmoja wa kiume aliyezaa na mume wake waliyeachana.
CREDIT :BONGO5
Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi
Post a Comment
Post a Comment