Stori:
Imelda Mtema
UZUSHI! Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ameitolea mbavuni
skendo ya kujiuza nchini China inayowatafuna mastaa wengi wa kike Bongo.
Kajala ambaye mara kwa mara amekuwa akisafiri kwenda nchini China,
alipozungumza na paparazi wetu aliruka viunzi na kufafanua:
“China nakwenda kwa pesa zangu, nalipa dola 5000 (business class), nina
dili zangu za kikazi na si kujiuza kama wapo wanaofanya hivyo ni wao
lakini si mimi.”
GPL
Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to Facebook
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro








Post a Comment
Post a Comment