1. Amelia Earhart - 1937
Rubani
wa Kimarekani, Amelia Earhart alikuwa mwanamke wa kwanza kuvuka Bahari
ya Atlantic kuchunguza dunia, alipotea na ndege yake miongo saba
iliyopita. Inahisiwa kuwa ndege yake iliishiwa mafuta na kuanguka.
2. Airbus A330 - 2009
Mwaka
1962 ndege ya kijeshi ya Marekani ilipotea ikiwa na watu 90 waliokuwa
wanakwenda Ufilipino. Rubani wa ndege hiyo hakuwahi kutoa taarifa yoyote
ya dharura na hadi sasa haijaonekana licha ya wataalamu 1,300 kushiriki
kuitafuta.
4. South American Airways - 1947
Ilichukua
miaka 50 kupata fununu za ndege ya Amerika ya Kusini iliyopotea mwaka
1947 ikiwa na abiria 11 na kupatikana mwaka 1998 katika Milima ya Andes.
Ndege hiyo ilifunikwa kwenye barafu ya milima hiyo.
5. Bermuda Triangle - 1948 na 1949
Ulikuwa
ni mfuatano wa matukio ya kupotea kwa ndege mbili katika eneo la
baharini linaloitwa Pembetatu ya Shetani (Devil’s Triangle) katika
maeneo ya Florida, Puerto Rico na Bermuda ambalo limekuwa na matukio
mengi ya kupotea kwa ndege na meli kimiujiza. Katika matukio hayo
mawili, ndege hizo zikiwa na jumla ya abiria 51 zilipotea na hata
wanaanga 13 waliotumwa kuitafuta pia walipotea.
6. Uruguay 571- 1972
Ndege
ya Shirika la Ndege la Uruguay, 571, ilipotea mwaka 1972 ikielekea
Santiago, Chile. Ndege hiyo ambayo ilikuwa na abiria 45, ilianguka
milimani na watu 12 walikufa. Walionusurika walitafutwa kwa zaidi ya
siku 72. Kabla ya kuokolewa, majeruhi hao walilazimika kula nyama za
wenzao waliokufa ili kuishi.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment