Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

                        Mtoto huyo wa kiume akiwa amefunikwa shuka la gesti
Taarifa zilizotufikia punde zinadai kwamba yule mtoto wa kiume aliyezaliwa gesti huku mama yake  Bi.Mwanaidi Athumani akiwa na mume mwingine amefariki dunia jana.
 
Baada ya kupokea taarifa hizo Mwandishi wa habari hizi alifika hospital  ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro na kuzungumza na daktari mmoja ambaye alithibitisha mtoto huyo aliyekaa tumboni kwa mama yake kwa miezi 7 amefariki dunia.
 
 Vile vile Mwandishi wetu alifanya juhudi za kina na kufanikiwa kumpata mume wa mwanamke huyo ambaye pia alithibitisha kichanga hicho kufariki dunia.
 
Mwandishi alifanikiwa kufanya mahojiano  ya tukio hilo na baba huyo wa familia hiyo  ambapo pamoja na kuchukuha hatu kali zaidi ya mkewe huyo pia amefunguka na kusema mambo mengi, 
na Dustan Shekidele

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top