Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
 
Baada ya kusambaa picha ya Davido na binti waki-share kiss aliyo-post mwenyewe instagram na kuifuta haraka na tetesi kusambaa kwa kasi kuwa binti aliyepiga nae picha ni modo wa kiafrika kusini na tayari wamepeana ujauzito.




Davido ametumia ukurasa wake wa twitter kujibu tuhuma hizo na kusema hana mpenzi (yaaani yuko single) na hatarajii kupata mtoto kutoka kwa mtu yeyeto!

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top