Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
This connected toothbrush from Kolibree will track your brushing habits and send them to your phone.
wale wa wapenzi wa vitu smart, kama vile smartphone,smart watch
Kampuni ya Kifaransa imeanzisha miswaki, ambayo unaweza unganisha na simu yako ya smartphone,
 
mswaki huo wauzwa kati ya $99  hadi $ 200,mswaki huu ni tofauti  na miswaki mingine ,mswaki huu data huifadhiwa kwenye simu yako, na pindi unapoutumia unakuonesha kama umeruka sehemu katika kinywa chako ambapo mswaki huo haujafika

mswaki wa kolibree umegunduliwa na Thomas ngawa,kutoka  ufaransa

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top