Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
 
Jengo la RK lililokaribu na eneo la Jet katika Barabara ya Nyerere karibu na sheli ya Victoria linaendelea kuwaka moto mkubwa   ambao umefika katika eneo la ghala la kuhifadhia madawa.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam wapo eneo la tukio ambako hali bado si shwari.

Sehemu iliyoathirika zaidi  ni ghala la kutunzia dawa za binadamu la kampuni ya Philips.


>>GPL<<<

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top