Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
mcd

Kama mfatiliaji wa muziki wa Dansi Tanzania,jina la Mc D si jina geni kwako,huyu ni Mpiga tumba maarufu Afrika mashariki Masoud Mohamed (MCD) ambaye ni mpiga tumba kutoka bendi ya African Stars Band[Twanga pepeta]habari za kifo hiki zimethibitishwa na msemaji wa Twanga pepeta.


Miongoni mwa bendi alizozitumikia Mcd enzi ya uhai wake ni pamoja na Diamond Sound,Mashujaa Band na Twanga pepeta,taarifa zaidi zitafuata.

Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi ameen

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top