Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Msanii wa kundi la FUTUHI  mzee DUDE  afariki dunia leo mida ya saa 11 jioni, kabla ya kufikwa na umauti msaanii huyo alikua kwenye kipindi cha futuhi kinachorushwa STAR TV kila siku ya alhamisi 3:30 usiku.
Habari zinasema kuwa alizidiwa jana na kukumbizwa hospitali ya  BUGANDO ambapo ndipo mauti yalipomkutia

 Tunamuombea kwa Mwenyezimungu ampumzishe kwa amani

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top