Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Mwanadada SHILOLE aka SHISHI BYBEE anatarajia kutoa wimbo wake mpya kabisa kwa mwaka huu 2014 alioupa jina la CHUNA BUZI. Shilole ambaye ni mwigizaji wa Bongo Movie na pia ni msanii wa Bongo Fleva amesema kuwa anatarajia mambo makubwa sana kwa mwaka huu 2014 kama mungu atamjalia pumzi.
Shilole ambaye bado anatesa na kichupa chake kinachoitwa NAKOMAA NA JIJI

amesema CHUNA BUZI nimwendelezo tu wa nyimbo zake lakini mashabiki wake wanaona kama majina anayoyachagua kukaa kwenye nyimbo zake yanaonekana kama anayaimba maisha yake. Wimbo huu mpya ameufanyia pale Mazuu Rec chini ya Producer Mazuu. 
Na....DJMwanga.com

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top