Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This




Askari  walilikuwa  wakielekea katika mkutano   wa uzinduzi wa  kampeni  za CCM kata  ya  Nduli Iringa mjini wakitazama gari  ambalo alikuwa akiendesha  OCD Iringa  lililopata  ajali majira ya saa 10 jioni leo  jumapili japo hakuna  aliyepoteza maisha  ktk ajali hii iliyotokea  kona  la Mgongo barabara ya Iringa-Dodoma
wasomi  wa  chuo  kikuu cha Iringa wakitazama  ajali hiyo ambayo dereva  wake OCD Iringa  alinusurika  kifo na  kuumia mkono  wake  kiasi

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top