![]() |
Nimestushwa na habari hii iliyoandikwa katika gazeti la RAIA TANZANIA 27/01/2014 kwamba baada ya Mhe Edward Lowasa kuanza mkakati wa kuelekea ikulu...inasema kambi sasa inapelekea mashambulizi kwa kijana Mnec, Mcc Katibu itikadi na uenezi Nape Mosses NNauye kuhakikisha ANANG'OKA katika nafasi hiyo baada ya kile alichokiita MAWAZIRI MIZIGO kushindwa kusimamia wasirudi katika baraza la mawaziri lililoteuliwa na Rais Dr Jakaya Kikwete........mkakati wao ni kutaka nafasi hiyo ichukuliwe na aliyekuwa katibu mkuu wa UVCCM TAIFA MARTIN REUBEN SHIGELA
KWA MTAZAMO WANGU BINAFSI- KWA JAMBO HILI LA KINYAMA.KIFEDHULI wanaosuka mpango huu wanakosea na wamekosea sana, mpango huu NIA YAO kuungwa mkono na wajumbe wa NEC TAIFAm katika kikao kijacho cha NEC TAIFA.
Kwa kaka yangu MARTINE REUBEN SHIGELA naomba usome habari hii kwa kina uone namna gani watu wanakutumia kutaka kuzidi kukuharibia karia yako ya kisiasa. ukikaa kimya katika jambo hili , utatufanya tulio wengi tuamini unahusika kwa dhati kabisa katika mpango....nafahamu mpango huo hautafanikiwa katu, kaka Shigella jitokeze kujibu mashambulizi haya yaliyokuhusisha na wewe.
Source RAIA TANZANIA.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro











Post a Comment
Post a Comment