Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
divaa
Mtangazaji wa Kipindi cha Ala za Roho kutoka Clouds Fm ‘The people’s Station’ leo kwenye akaunti yake ya Instagram amepost picha ikiwa na maneno haya chini.
Screenshot_2014-01-17-09-03-38
‘Natangaza nia ya kugombania ubunge 2015 na
kuingia kwenye siasa rasmi 2015,Kama mwanasiasa kijana nina mengi ya kusaidia Taifa na jamii inayituzunguka yenye vijana wengi,i want to inspire and motivate and i want my voice to be heard,i want to speak up and there’s no turning back,God is Good,need all strength and i got the big support in this from my close friend,solidarity madaraka kwa uma.
Screenshot_2014-01-17-09-07-49
Huo ndiyo ujumbe uliosomeka kwa Diva ingawa bado hajaweka wazi jimbo atakalogombea,Kama atafanikiwa kuingia bungeni Diva atakua kwenye list ya miongoni mwa watangazaji na vijana walioingia kwenye siasa.
Credit:Millardayo

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top