Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Sintah amefunguka katika blog yake kuhusu mwanadada Irene Uwoya kubugi siku ya jana na kuweka Picha ya Vin Diesel akidhani ni Paul Walker. Soma hapo chini alichokisema

Van Diesel ambaye
Irene alifikiri ni Paul Walker

Let me a shame the devil, mara nyingi wanapokufa mastaa wa nje jamani ktk mitandao ya jamii tunakufa mbavu, sasa watu ndio kujifanya wanamjua sana watasononeka kiasi kwamba utafikiri ni ndugu wa damu,.
 
sasa afe star wa kwetu mmmmh hauoni hilo vumbi kama la nje jamani tujaribu kupenda na kuthamini vya kwetu vikiwa hai na vikitutoka sio kujishauwasti tujuwesti na wewesti unamjuasti paul walkerst kumbest nop
 
poor Irene amaejikuta akizodolewa, kwa kuchapia sasa sijui alitaka  aonekane anawajua  Hollywood celebrities  very well akajikuta anakosea baada ya kuweka pic ya Van Diesel na si ya Paul Walker aliefariki na kusisitiza bwana ametoa na bwana ametwaa..
 calm down, don't try so hard to fit in the cycle...... kama ni no ni NO tu...

I do the seeking n you do the judging

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top