Mariam
Crispin Kilimba(52)mkazi wa Ipuli manispaa ya Tabora anayedaiwa kupigwa
na mumewe Bw.Himid Hassan Kitebo(58)ambaye ni mganga wa Kienyeji na
kusababisha kumvunja taya.
Bi.Joha Aman(38)mkazi wa kata ya Isevya alipigwa na mumewe na kujeruhiwa vibaya ambapo amelazwa katika hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Tabora Kitete.Matukio ya ukatili wa kijinsia mkoani Tabora bado yanaendelea kushika kasi siku hadi siku.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment