Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
STAA wa sinema za nyumbani, Jacqueline Wolper amemtemea cheche msanii mwenzake, Baby Joseph ‘Baby Madaha’ kuwa anatafuta ustaa (kiki) kupitia jina lake.
 
Baby Joseph ‘Baby Madaha’.
Akifafanua kauli yake mbele ya kinasa sauti cha Stori 3, Wolper alisema anamshangaa msanii huyo kumsemea vibaya, kutoa lugha ya matusi mtandaoni bila sababu za msingi.

 
Jacqueline Wolper.
“Namshangaa Baby Madaha kwa aliyoyasema kuhusu mimi, anatafuta kiki. Watu wanafahamu mimi ni staa kuliko yeye kwa hiyo sidhani kama ana sababu ya kugombana na mimi,” alisema Wolper.
                                        GPL

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top