Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Basi wakaazi wa mji wa Eldoret waliwashambulia kwa viboko wezi wanne waliopatikana wakiendeleza kazi hiyo ya kuibia wafu. Na japo walijaribu kujitetea kuwa na mipango tofauti ya kuchimba makaburi hayo, mifupa ya maiti iliyokwa pembeni ilikuwa thibitisho tosha kuwa bidhaa za wafu ndizo zilizowavutia hapo.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top